Dallas wheels.
Kwa Mahitaji yako ya Accesories mbalimbali za Gari lako,Tunapatikana Dar es salaam,Kariakoo, Mtaa wa SWAHILI.
WASILIANA NASI; 0777 746 746, 0718306060
KARIBUNI SANA.
Friday, August 14, 2009
Kimfaacho mtu............chake.
Subaru ikiwa imefungwa Body kit,huku Harrier ikifungwa taa za HID pamoja na Rimz.
Gari ndogo aina ya Nissan station wagon ikipata Rimz size 16'',huku Isuzu ikifungwa Ngao ya mbele na Side steps.
Kama kawaida kazi sio mchana tu,bali hata jioni zinafanyika,mdau wa prado aliechelewa kutoka kazini kwake lakini kwetu bado alitukuta tuko wazi.
Saturday, August 8, 2009
Weekend ndo hiyo..................pamoja na wadau
Wadau toka Msumbiji mpaka Bongo nao walikuja kurekebisha gari yao aina ya Isuzu KB (2009model)
Monday, August 3, 2009
Mdau wa August akijipambia usafiri wake...
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)